Waebrania 10:38
Lakini mwenye haki wangu 2 ataishi kwa imani. 1 Naye kama akisitasita, 2 sina furaha naye.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now the just shall live by faith: but if any man draw back, my soul shall have no pleasure in him.
In Context
37Kwa kuwa bado kitambo kidogo tu, 1 “Yeye ajaye atakuja wala hatakawia. 2
Cross References
Psalms 5:4Wewe si Mungu unayefurahia uovu, 2 kwako mtu mwovu hataishi. 1
Psalms 147:11Bwana hupendezwa na wale wamchao, 2 wale wanaoweka tumaini lao katika upendo wake usiokoma. 1
Isaiah 42:1“Huyu hapa mtumishi wangu, ninayemtegemeza, 2 mteule wangu, ambaye ninapendezwa naye; 1 nitaweka Roho yangu juu yake, 2 naye ataleta haki kwa mataifa. 1
Ezekiel 18:24“Lakini kama mtu mwenye haki akiacha haki yake na kutenda dhambi na kufanya mambo ya machukizo ambayo mtu mwovu hufanya, Je, ataishi? Hakuna hata mojawapo ya matendo ya haki aliyotenda litakalokumbukwa. Kwa sababu ya kukosa uaminifu kwake anayo hatia na kwa sababu ya dhambi alizozitenda, atakufa.
Zephaniah 1:6wale wanaoacha kumfuata Bwana, 2 wala hawamtafuti Bwana 2 wala kutaka shauri lake. 1
Matthew 12:18“Tazama mtumishi wangu niliyemchagua, 2 mpendwa wangu, ninayependezwa naye. 1 Nitaweka Roho wangu juu yake, 2 naye atatangaza haki kwa mataifa. 1