Luke 18:17
Amin, nawaambia, mtu yeyote asiyeupokea Ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, hatauingia kamwe.” 1 Mtawala Tajiri (Mathayo 19:16-30; Marko 10:17-31)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Mtawala mmoja akamuuliza Yesu, “Mwalimu mwema, nifanye nini ili niurithi uzima wa milele?”
Cross References
Matthew 18:3Naye akasema: “Amin, nawaambia, msipookoka na kuwa kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika Ufalme wa Mbinguni.
1 Peter 1:14Kama watoto watiifu, msifuate tamaa zenu mbaya wakati mlipoishi kwa ujinga.