Luke 18:21
Akajibu, “Amri hizi zote nimezishika tangu nikiwa mtoto.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said, All these have I kept from my youth up.
In Context
20Unazijua amri: ‘Usizini, usiue, usiibe, usishuhudie uongo, waheshimu baba yako na mama yako.’ ”
Cross References
Mark 10:20Akamjibu, “Mwalimu, amri hizi zote nimezishika tangu nikiwa mtoto.”
Luke 15:29Lakini yeye akamjibu baba yake, ‘Tazama! Miaka yote hii nimekutumikia na hata siku moja sijaacha kutii amri zako, lakini hujanipa hata mwana-mbuzi ili nifurahi na rafiki zangu.
Romans 10:2Kwa maana ninaweza nikashuhudia wazi kwamba wao wana juhudi kubwa kwa ajili ya Mungu, lakini juhudi yao haina maarifa.