Luke 18:24
Yesu akamtazama, akasema, “Tazama jinsi ilivyo vigumu kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Aliposikia jambo hili, alisikitika sana kwa maana alikuwa mtu mwenye mali nyingi.
Cross References
Deuteronomy 8:11Jihadharini msimsahau Bwana Mungu wenu, mkashindwa kushika maagizo yake, sheria na amri zake ambazo ninawapa leo.
Psalms 73:5Hawapati shida zinazowataabisha watu wengine, 2 wala hawapati mapigo kama wanadamu wengine. 1
Proverbs 18:11Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, 2 wanaudhania kuwa ukuta usioweza kurukwa. 1
Jeremiah 2:31“Enyi wa kizazi hiki, tafakarini neno la Bwana: 1 “Je, nimekuwa jangwa kwa Israeli 2 au nchi ya giza kuu? 1 Kwa nini watu wangu wanasema, ‘Sisi tuko huru kuzurura, 2 hatutarudi kwako tena’? 1
Matthew 19:23Ndipo Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Amin, nawaambia, itakuwa vigumu kwa mtu tajiri kuingia katika Ufalme wa Mbinguni.
Mark 10:23Yesu akatazama pande zote, akawaambia wanafunzi wake, “Itakuwa vigumu sana kwa wenye mali kuingia katika Ufalme wa Mungu!”