Matthew 19:23
Ndipo Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Amin, nawaambia, itakuwa vigumu kwa mtu tajiri kuingia katika Ufalme wa Mbinguni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 8:10Wakati mtakapokwisha kula na kushiba, msifuni Bwana Mungu wenu kwa ajili ya nchi nzuri aliyowapa.
Psalms 49:6wale wanaotegemea mali zao 2 na kujivunia utajiri wao mwingi? 1
Proverbs 11:28Yeyote ategemeaye utajiri wake ataanguka, 2 bali mwenye haki atastawi kama jani bichi. 1
Matthew 5:20Kwa maana nawaambia, haki yenu isipozidi haki ya Mafarisayo na walimu wa sheria, kamwe hamtaingia katika Ufalme wa Mbinguni. 1 Kuhusu Hasira (Luka 12:57-59)
Matthew 18:3Naye akasema: “Amin, nawaambia, msipookoka na kuwa kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika Ufalme wa Mbinguni.
Mark 10:23Yesu akatazama pande zote, akawaambia wanafunzi wake, “Itakuwa vigumu sana kwa wenye mali kuingia katika Ufalme wa Mungu!”