Luka 18:28
Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, tumeacha vyote tulivyokuwa navyo tukakufuata!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then Peter said, Lo, we have left all, and followed thee.
In Context
27Yesu akajibu, “Yasiyowezekana kwa wanadamu yanawezekana kwa Mungu.”
Cross References
Matthew 9:9Yesu alipokuwa akienda kutoka huko, alimwona mtu mmoja jina lake Mathayo akiwa ameketi forodhani mahali pa kutoza ushuru. Yesu akamwambia, “Nifuate.” Mathayo akaondoka, akamfuata.
Mark 10:28Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, tumeacha kila kitu na kukufuata wewe!”
Philippians 3:7Lakini mambo yale yaliyokuwa faida kwangu, sasa nayahesabu kuwa hasara kwa ajili ya Kristo.