Mark 10:28
Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, tumeacha kila kitu na kukufuata wewe!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then Peter began to say unto him, Lo, we have left all, and have followed thee.
In Context
Cross References
Ecclesiastes 3:6wakati wa kutafuta na wakati wa kupoteza, 2 wakati wa kuweka na wakati wa kutupa, 2
Matthew 4:22Nao mara wakaiacha mashua yao, pamoja na baba yao, wakamfuata. 1 Yesu Ahubiri Na Kuponya Wagonjwa (Luka 6:17-19)
Mark 1:16Yesu alipokuwa akitembea kando ya Bahari ya Galilaya, aliwaona Simoni na Andrea nduguye wakizitupa nyavu zao baharini, kwa kuwa wao walikuwa wavuvi.
Luke 18:28Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, tumeacha vyote tulivyokuwa navyo tukakufuata!”