Luka 18:34
Wanafunzi wake hawakuelewa mambo haya, kwa kuwa maana yake ilikuwa imefichika kwao, nao hawakujua Yesu alikuwa anazungumzia nini. 1 Yesu Amponya Kipofu Karibu Na Yeriko (Mathayo 20:29-34; Marko 10:46-52)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
33Naye siku ya tatu atafufuka.”
35Yesu alipokuwa anakaribia Yeriko, kipofu mmoja alikuwa ameketi kando ya njia akiomba msaada.
Cross References
Luke 2:50Lakini wao hawakuelewa maana ya lile alilowaambia.
Luke 24:25Yesu akawaambia, “Ninyi ni wajinga kiasi gani, nanyi ni wazito mioyoni mwenu kuamini mambo yote yaliyonenwa na manabii!
John 10:6Yesu alitumia mfano huu, lakini wao hawakuelewa hayo aliyokuwa akiwaambia.
John 16:1“Nimewaambia mambo haya yote ili msije mkaiacha imani.