The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 16 › John 16:1

John 16:1

“Nimewaambia mambo haya yote ili msije mkaiacha imani.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

These things have I spoken unto you, that ye should not be offended.

In Context

2Watawatenga na masinagogi. Naam, saa yaja ambayo mtu yeyote atakayewaua atadhani kwa kufanya hivyo anamtumikia Mungu.

Read all of John 16

Cross References

Matthew 11:6Amebarikiwa mtu yule asiyechukizwa na mimi.”

Matthew 13:57Wakachukizwa naye. Lakini Yesu akawaambia, “Nabii hakosi heshima, isipokuwa katika nchi yake na nyumbani kwake.”

Matthew 26:31Kisha Yesu akawaambia, “Usiku huu, ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa: 1 “ ‘Nitampiga mchungaji, 2 nao kondoo wa hilo kundi watatawanyika.’

John 15:18“Kama ulimwengu ukiwachukia ninyi, kumbukeni kwamba ulinichukia mimi kabla yenu.

Romans 14:21Ni afadhali kutokula nyama wala kunywa divai au kufanya jambo lingine lolote litakalomsababisha ndugu yako ajikwae.

1 Peter 2:8tena, 1 “Jiwe lenye kuwafanya watu wajikwae, 2 na mwamba wa kuwaangusha.” Wanajikwaa kwa sababu hawakulitii lile neno, kama walivyowekewa tangu zamani.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 16:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
John 16John 16:2 →