bible.software › Luke › Luke 19 › Luke 19:2
Luke 19:2
Tazama, palikuwa na mtu mmoja mkuu wa watoza ushuru naye alikuwa tajiri, jina lake Zakayo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And, behold, there was a man named Zacchaeus, which was the chief among the publicans, and he was rich.
In Context
1Yesu akaingia Yeriko, naye alikuwa anapita katikati ya huo mji.
3Yeye alikuwa akijitahidi kumwona Yesu ni mtu wa namna gani. Lakini kutokana na umati mkubwa wa watu hakuweza kwa sababu alikuwa mfupi wa kimo.
Read all of Luke 19
Cross References
Luke 18:24Yesu akamtazama, akasema, “Tazama jinsi ilivyo vigumu kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu!
This Verse In Other Editions
Study Luke 19:2