Luke 19:37
Alipokaribia mahali yanapoanzia materemko ya Mlima wa Mizeituni, umati wote wa wafuasi wake wakaanza kumsifu Mungu kwa furaha kwa sauti kuu kwa ajili ya matendo yote ya miujiza waliyoyaona. Wakasema: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
36Alipokuwa akienda akiwa amempanda, watu wakatandaza mavazi yao barabarani.
38“Amebarikiwa Mfalme ajaye kwa Jina la Bwana!” 2 “Amani mbinguni na utukufu huko juu sana.”
Cross References
Judges 5:1Ndipo Debora na Baraka mwana wa Abinoamu wakaimba wimbo huu: 1
1 Kings 8:55Akasimama na kubariki kusanyiko lote la Israeli kwa sauti kubwa akisema:
1 Chronicles 16:4Akawaweka pia baadhi ya Walawi ili wahudumu mbele ya Sanduku la Bwana kufanya maombi, kumshukuru na kumsifu Bwana, Mungu wa Israeli:
2 Chronicles 29:36Hezekia pamoja na watu wote wakafurahi kwa sababu ya lile Mungu alilolifanya kwa ajili ya watu wake, kwa kuwa lilitendeka papo hapo.
Psalms 106:12Ndipo walipoamini ahadi zake, 2 nao wakaimba sifa zake. 1
Mark 13:3Yesu alipokuwa ameketi kwenye Mlima wa Mizeituni mkabala na Hekalu, Petro, Yakobo, Yohana na Andrea wakamuuliza faraghani,