bible.software › Luke › Luke 19 › Luke 19:36
Luke 19:36
Alipokuwa akienda akiwa amempanda, watu wakatandaza mavazi yao barabarani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And as he went, they spread their clothes in the way.
In Context
35Wakamleta kwa Yesu, nao baada ya kutandika mavazi yao juu ya huyo mwana-punda, wakampandisha Yesu juu yake.
37Alipokaribia mahali yanapoanzia materemko ya Mlima wa Mizeituni, umati wote wa wafuasi wake wakaanza kumsifu Mungu kwa furaha kwa sauti kuu kwa ajili ya matendo yote ya miujiza waliyoyaona. Wakasema: 1
Read all of Luke 19
Cross References
Matthew 21:8Umati mkubwa wa watu ukatandaza mavazi yao barabarani, na wengine wakakata matawi kutoka kwenye miti, wakayatandaza barabarani.
This Verse In Other Editions
Study Luke 19:36