Mathayo 27:51
Wakati huo huo pazia la Hekalu likachanika vipande viwili, kuanzia juu hadi chini. Dunia ikatetemeka na miamba ikapasuka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
50Yesu alipolia tena kwa sauti kuu, akaitoa roho yake.
52Makaburi yakafunguka na miili ya watakatifu waliokuwa wamekufa ikafufuliwa.
Cross References
Exodus 40:21Kisha Mose akalileta Sanduku ndani ya Maskani ya Mungu, akatundika pazia ili kulifunika Sanduku la Ushuhuda, kama Bwana alivyomwagiza.
Leviticus 16:12Atachukua chetezo kilichojaa makaa yanayowaka kutoka madhabahuni mbele za Bwana, na konzi mbili za uvumba laini uliosagwa vizuri wenye harufu, na kuvipeleka nyuma ya pazia.
2 Chronicles 3:14Akatengeneza pazia la nyuzi za rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na za kitani safi, na kutarizi makerubi juu yake.
Psalms 18:15Mabonde ya bahari yalifunuliwa, 2 na misingi ya dunia ikawa wazi 1 kwa kukaripia kwako, Ee Bwana, 2 kwa uvumi wa pumzi kutoka puani mwako. 1
Micah 1:3Tazama! Bwana anakuja kutoka mahali pake; 2 anashuka na kukanyaga 2 mahali palipoinuka juu pa dunia. 1
Habakkuk 3:10milima ilikuona ikatetemeka. 1 Mafuriko ya maji yakapita huko; 2 vilindi vilinguruma 2 na kuinua mawimbi yake juu. 1