The Bible Software
bible.softwareLukaLuka 19 › Luka 19:43

Luka 19:43

Hakika siku zinakujia, ambazo adui zako watakuzingira, nao watakuzunguka pande zote na kukuzuilia ndani.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the days shall come upon thee, that thine enemies shall cast a trench about thee, and compass thee round, and keep thee in on every side,

In Context

42akisema, “Laiti ungalijua hata wewe leo yale ambayo yangeleta amani, lakini sasa yamefichika machoni pako.

44Watakuponda chini, wewe na watoto walioko ndani ya kuta zako. Nao hawataacha hata jiwe moja juu ya jingine, kwa sababu hukutambua wakati wa kujiliwa kwako.” 1 Yesu Atakasa Hekaluni (Mathayo 21:12-17; Marko 11:15-19; Yohana 2:13-22)

Read all of Luka 19

Cross References

Deuteronomy 28:49Bwana ataleta taifa dhidi yako kutoka mbali, kutoka miisho ya dunia, kama tai ashukiavyo mawindo chini, taifa ambalo hutaijua lugha yake,

Isaiah 29:1Ole wako, wewe Arieli, Arieli, 2 mji alimokaa Daudi! 1 Ongezeni mwaka kwa mwaka, 2 na mzunguko wa sikukuu zenu uendelee. 1

Jeremiah 6:3Wachungaji pamoja na makundi yao 2 watakuja dhidi yake; 1 watapiga mahema yao kumzunguka, 2 kila mmoja akichunga kundi lake mwenyewe.” 1

Ezekiel 26:8Atayaharibu makao yako huko bara kwa upanga, ataweka jeshi kukuzingira, atakuzingira mpaka kwenye kuta za ngome zako na kuinua ngao zake dhidi yako.

Matthew 22:7Yule mfalme akakasirika sana, akapeleka jeshi lake likawaangamiza wale wauaji na kuuteketeza mji wao kwa moto.

Mark 13:14“Mtakapoona ‘chukizo la uharibifu’ limesimama mahali pasipolipasa (asomaye na afahamu), basi wale walioko Uyahudi wakimbilie milimani.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 19:43

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 19:42Luka 19Luka 19:44 →