Matthew 22:7
Yule mfalme akakasirika sana, akapeleka jeshi lake likawaangamiza wale wauaji na kuuteketeza mji wao kwa moto.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Wengine wao wakawakamata wale watumishi wake, wakawatesa na kuwaua.
Cross References
Isaiah 10:5“Ole kwa Ashuru, fimbo ya hasira yangu, 2 ambaye mkononi mwake ana rungu ya ghadhabu yangu! 1
Jeremiah 51:20“Wewe ndiwe rungu langu la vita, 2 silaha yangu ya vita: 1 kwa wewe navunjavunja mataifa, 2 kwa wewe naangamiza falme, 1
Joel 2:11Bwana anatoa mshindo wa ngurumo 2 mbele ya jeshi lake; 1 majeshi yake hayana idadi, 2 ni wenye nguvu nyingi 2 wale ambao hutii agizo lake. 1 Siku ya Bwana ni kuu, 2 ni ya kutisha. 2 Ni nani anayeweza kuistahimili? 1 Rarueni Mioyo Yenu 1
Joel 3:2nitayakusanya mataifa yote na kuyaleta 2 katika Bonde la Yehoshafati + 3:2 Yehoshafati maana yake Bwana huhukumu. 1 Hapo nitaingia kwenye hukumu dhidi yao 2 kuhusu urithi wangu, watu wangu Israeli, 1 kwa kuwa waliwatawanya watu wangu 2 miongoni mwa mataifa 2 na kuigawa nchi yangu. 1
Matthew 21:40“Kwa hiyo, huyo mwenye shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanyia nini hao wakulima?”
Luke 19:42akisema, “Laiti ungalijua hata wewe leo yale ambayo yangeleta amani, lakini sasa yamefichika machoni pako.