The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 2 › Luke 2:11

Luke 2:11

Leo katika mji wa Daudi kwa ajili yenu amezaliwa Mwokozi, ndiye Kristo + 2:11 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Bwana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For unto you is born this day in the city of David a Saviour, which is Christ the Lord.

In Context

10Lakini malaika akawaambia: “Msiogope. Kwa maana tazama nawaletea habari njema za furaha itakayokuwa kwa watu wote.

12Hii ndiyo itakayokuwa ishara kwenu: Mtamkuta mtoto mchanga amefunikwa nguo za kitoto na kulazwa katika hori ya kulia ngʼombe.”

Read all of Luke 2

Cross References

Genesis 49:10Fimbo ya ufalme haitaondoka kwa Yuda, 2 wala fimbo ya mtawala kati ya miguu yake, 1 hadi aje yeye ambaye milki ni yake, 2 ambaye utii wa mataifa ni wake. 1

Isaiah 9:6Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, 2 tumepewa mtoto mwanaume, 2 nao utawala utakuwa mabegani mwake. 1 Naye ataitwa 2 Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, 2 Baba wa Milele, Mfalme wa Amani. 1

Matthew 1:16naye Yakobo akamzaa Yosefu ambaye alikuwa mumewe Maria, mama yake Yesu, aitwaye Kristo. + 1:16 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta.

Matthew 16:16Simoni Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo, + 16:16 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Mwana wa Mungu aliye hai.”

Luke 1:43Lakini ni kwa nini mimi nimepata upendeleo kiasi hiki, hata mama wa Bwana wangu afike kwangu?

Luke 2:4Hivyo Yosefu akapanda kutoka mji wa Nazareti ulioko Galilaya kwenda Uyahudi, mpaka Bethlehemu, mji wa Daudi, kwa sababu yeye alikuwa wa ukoo na wa nyumba ya Daudi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 2:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 2:10Luke 2Luke 2:12 →