Luke 2:19
Lakini Maria akayaweka mambo haya yote moyoni mwake na kuyatafakari.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But Mary kept all these things, and pondered them in her heart.
In Context
18Nao wote waliosikia habari hizi wakastaajabia yale waliyoambiwa na wale wachungaji wa kondoo.
Cross References
Genesis 37:11Ndugu zake wakamwonea wivu, lakini baba yake akaliweka jambo hilo moyoni. 1 Yosefu Auzwa Na Ndugu Zake
Proverbs 4:4baba alinifundisha akisema, 2 “Yashike maneno yangu yote kwa moyo wako wote; 2 yashike maagizo yangu na wewe utaishi. 1
Luke 1:66Kila aliyesikia habari hizi alishangaa akauliza, “Je, mtoto huyu atakuwa mtu wa namna gani?” Maana mkono wa Bwana ulikuwa pamoja naye. 1 Unabii Wa Zekaria
Luke 9:43Watu wote wakastaajabia uweza mkuu wa Mungu. Wakati bado watu walikuwa wanastaajabia hayo yote aliyokuwa akiyafanya Yesu, yeye akawaambia wanafunzi wake: