Luke 9:43
Watu wote wakastaajabia uweza mkuu wa Mungu. Wakati bado watu walikuwa wanastaajabia hayo yote aliyokuwa akiyafanya Yesu, yeye akawaambia wanafunzi wake:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 139:14Ninakusifu kwa sababu nimeumbwa 2 kwa namna ya ajabu na ya kutisha; 1 kazi zako ni za ajabu, 2 ninajua hayo kikamilifu. 1
Matthew 17:22Siku moja walipokuwa pamoja huko Galilaya, Yesu akawaambia, “Mwana wa Adamu atasalitiwa na kutiwa mikononi mwa watu.
Mark 9:30Wakaondoka huko, wakapitia Galilaya. Yesu hakutaka mtu yeyote afahamu mahali walipo,
Luke 5:9Kwa kuwa yeye na wavuvi wenzake walikuwa wameshangazwa sana na wingi wa samaki waliokuwa wamepata.
Luke 8:25Akawauliza wanafunzi wake, “Imani yenu iko wapi?” Kwa woga na mshangao wakaulizana, “Huyu ni nani, ambaye anaamuru hata upepo na maji, navyo vikamtii?” 1 Yesu Amponya Mtu Mwenye Pepo Mchafu (Mathayo 8:28-34; Marko 5:1-20)
Acts 3:10wakamtambua kuwa ni yule mtu aliyekuwa akiketi nje ya Hekalu penye lango liitwalo Zuri akiomba msaada, nao wakajawa na mshangao, wakastaajabu juu ya yale yaliyomtukia. 1 Petro Anashuhudia Kuwa Yesu Anaponya