Luke 2:29
“Bwana Mwenyezi, kama ulivyoahidi, 2 sasa wamruhusu mtumishi wako 2 aende zake kwa amani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Lord, now lettest thou thy servant depart in peace, according to thy word:
In Context
28ndipo Simeoni akampokea mtoto mikononi mwake na kumsifu Mungu, akisema: 1
30Kwa maana macho yangu yameuona wokovu wako, 2
Cross References
Genesis 46:30Israeli akamwambia Yosefu, “Sasa niko tayari kufa, kwa kuwa nimejionea mwenyewe kwamba bado uko hai.”
Isaiah 57:1Mwenye haki hupotea, 2 wala hakuna hata mmoja awazaye hilo moyoni mwake; 1 watu wanaomcha Mungu huondolewa, 2 wala hakuna hata mmoja anayeelewa 1 kuwa wenye haki wameondolewa 2 ili wasipatikane na maovu. 1
Philippians 1:23Ninavutwa kati ya mambo mawili: Ninatamani kuondoka nikakae pamoja na Kristo, jambo hilo ni bora zaidi.