Luke 2:28
ndipo Simeoni akampokea mtoto mikononi mwake na kumsifu Mungu, akisema: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then took he him up in his arms, and blessed God, and said,
In Context
29“Bwana Mwenyezi, kama ulivyoahidi, 2 sasa wamruhusu mtumishi wako 2 aende zake kwa amani. 1
Cross References
Psalms 105:1Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake, 2 wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda. 1
Mark 9:36Kisha akamchukua mtoto mdogo, akamsimamisha katikati yao. Akamkumbatia, akawaambia,
Luke 1:46Naye Maria akasema: 1 “Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, 2
Luke 1:68“Ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli, 2 kwa kuwa amewajilia watu wake na kuwakomboa. 1
Luke 2:20Wale wachungaji wakarudi, huku wakimtukuza Mungu na kumsifu kwa ajili ya mambo yote waliyokuwa wameambiwa na kuyaona.