Luke 2:36
Tena alikuwako Hekaluni nabii mmoja mwanamke, jina lake Ana binti Fanueli, wa kabila la Asheri. Alikuwa mzee sana; naye alikuwa ameolewa na kuishi na mume kwa miaka saba tu, kisha mumewe akafa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
35ili mawazo ya mioyo mingi yadhihirike. Nao upanga utauchoma moyo wako.”
Cross References
Genesis 30:13Ndipo Lea aliposema, “Jinsi gani nilivyo na furaha! Wanawake wataniita furaha.” Kwa hiyo akamwita Asheri. + 30:13 Asheri maana yake Nimefurahi, yaani Mungu amenifurahisha.
Judges 4:4Debora, nabii mwanamke, mkewe Lapidothi, ndiye alikuwa anaamua Israeli wakati ule.
Job 5:26Utaingia kaburini ukiwa na umri wa uzee mtimilifu, 2 kama masuke ya ngano yakusanywapo kwa wakati wake. 1
Acts 2:18Hata juu ya watumishi wangu, wanaume kwa wanawake, 2 katika siku zile nitamimina Roho wangu, 2 nao watatabiri. 1
1 Corinthians 12:1Basi ndugu zangu, kuhusu karama za rohoni, sitaki mkose kufahamu.