Luke 2:37
Hivyo alikuwa mjane na umri wake ulikuwa miaka themanini na minne. Yeye hakuondoka humo Hekaluni usiku wala mchana, bali alikuwa akimwabudu Mungu, akifunga na kuomba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 38:8Akatengeneza sinia la shaba lenye kitako cha shaba kutoka kwa vioo vya shaba vilivyotolewa na wanawake waliohudumu pale ingilio la Hema la Kukutania. 1 Ua Wa Hema La Kukutania (Kutoka 27:9-19)
Psalms 22:2Ee Mungu wangu, ninalia mchana, lakini hunijibu, 2 hata usiku, sinyamazi. 1
Psalms 27:4Jambo moja ninamwomba Bwana, 2 hili ndilo ninalolitafuta: 1 niweze kukaa nyumbani mwa Bwana 2 siku zote za maisha yangu, 1 niutazame uzuri wa Bwana 2 na kumtafuta hekaluni mwake. 1
Psalms 84:10Siku moja katika nyua zako ni bora 2 kuliko siku elfu mahali pengine; 1 afadhali ningekuwa bawabu katika nyumba ya Mungu wangu 2 kuliko kukaa katika mahema ya waovu. 1
Psalms 135:1Msifuni Bwana. 1 Lisifuni jina la Bwana, 2 msifuni, enyi watumishi wa Bwana, 1
Acts 13:3Ndipo baada ya kufunga na kuomba, wakawawekea mikono yao na wakawatuma waende zao. 1 Barnaba Na Sauli Waenda Kipro