Luke 2:40
Naye yule mtoto akakua na kuongezeka nguvu, akiwa amejaa hekima, na neema ya Mungu ilikuwa juu yake. 1 Kijana Yesu Hekaluni
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 13:24Yule mwanamke akazaa mtoto wa kiume akamwita jina lake Samsoni. Kijana akakua, naye Bwana akambariki.
1 Samuel 2:26Naye kijana Samweli akaendelea kukua katika kimo, akimpendeza Bwana na wanadamu. 1 Unabii Dhidi Ya Nyumba Ya Eli
Psalms 22:9Hata hivyo ulinitoa tumboni, 2 ukanifanya nikutegemee, 1 hata nilipokuwa ninanyonya 2 matiti ya mama yangu. 1
Isaiah 11:1Chipukizi litatokea kutoka shina la Yese, 2 kutoka mizizi yake Tawi litazaa tunda. 1
Luke 1:80Yule mtoto akakua na kuongezeka nguvu katika roho; akaishi nyikani hadi siku ile alipojionyesha hadharani kwa Waisraeli.
Luke 2:52Naye Yesu akakua katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu.