Luke 2:47
Wote waliomsikia walistaajabishwa na uwezo wake mkubwa wa kuelewa, na majibu aliyoyatoa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And all that heard him were astonished at his understanding and answers.
In Context
Cross References
Matthew 7:28Yesu alipomaliza kusema maneno haya, makutano ya watu wakashangazwa sana na mafundisho yake,
Luke 2:18Nao wote waliosikia habari hizi wakastaajabia yale waliyoambiwa na wale wachungaji wa kondoo.
Luke 4:32Wakashangazwa sana na mafundisho yake, maana maneno yake yalikuwa na mamlaka.
John 7:46Wale walinzi wakajibu, “Kamwe hajanena mtu yeyote kama yeye anenavyo.”