Matthew 7:28
Yesu alipomaliza kusema maneno haya, makutano ya watu wakashangazwa sana na mafundisho yake,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it came to pass, when Jesus had ended these sayings, the people were astonished at his doctrine:
In Context
29kwa sababu alifundisha kama yeye aliye na mamlaka, wala si kama walimu wao wa sheria.
Cross References
Psalms 45:2Wewe ni bora kuliko watu wengine wote 2 na midomo yako imepakwa neema, 2 kwa kuwa Mungu amekubariki milele. 1
Matthew 13:53Yesu alipomaliza kutoa mifano hii, akaondoka.
Matthew 22:33Ule umati wa watu uliposikia hayo, ulishangaa sana kwa mafundisho yake. 1 Amri Kuu Kuliko Zote (Marko 12:28-34; Luka 10:25-28)
Mark 1:22Watu wakashangaa sana kwa mafundisho yake, kwa maana aliwafundisha kama yeye aliye na mamlaka, wala si kama walimu wa sheria.
Mark 11:18Viongozi wa makuhani na walimu wa sheria wakapata habari hizi, nao wakaanza kutafuta njia ya kumuua, kwa kuwa walikuwa wakimwogopa, kwa sababu umati wote ulikuwa unashangazwa na mafundisho yake.
Luke 4:32Wakashangazwa sana na mafundisho yake, maana maneno yake yalikuwa na mamlaka.