Luke 2:51
Ndipo akashuka pamoja nao hadi Nazareti, naye alikuwa mtiifu kwao. Lakini mama yake akayaweka moyoni mwake mambo haya yote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
50Lakini wao hawakuelewa maana ya lile alilowaambia.
52Naye Yesu akakua katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu.
Cross References
Genesis 37:11Ndugu zake wakamwonea wivu, lakini baba yake akaliweka jambo hilo moyoni. 1 Yosefu Auzwa Na Ndugu Zake
Matthew 3:15Lakini Yesu akamjibu, “Kubali hivi sasa, kwa maana ndivyo itupasavyo kwa njia hii kuitimiza haki yote.” Hivyo Yohana akakubali.
Luke 2:19Lakini Maria akayaweka mambo haya yote moyoni mwake na kuyatafakari.
Luke 18:37Wakamwambia, “Yesu wa Nazareti anapita.”
Ephesians 6:1Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, kwa kuwa hili ni jema.