Luke 20:39
Baadhi ya walimu wa sheria wakasema, “Mwalimu, umesema sawasawa kabisa!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then certain of the scribes answering said, Master, thou hast well said.
In Context
38Yeye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai, kwa kuwa kwake wote ni hai.”
Cross References
Mark 12:28Mwalimu mmoja wa sheria akaja, akawasikia wakijadiliana. Akiona kwamba Yesu amewajibu vyema, naye akamuuliza, “Katika amri zote, ni ipi iliyo kuu?”