Luka 20:34
Yesu akawajibu, “Katika maisha haya watu huoa na kuolewa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jesus answering said unto them, The children of this world marry, and are given in marriage:
In Context
33Sasa basi, siku ya ufufuo huyo mwanamke atakuwa mke wa nani, maana aliolewa na ndugu wote saba?”
Cross References
Luke 17:27Watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka siku ile Noa alipoingia katika safina. Ndipo gharika ikaja na kuwaangamiza wote.
Ephesians 5:31“Kwa sababu hii, mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.”