Luka 20:40
Baada ya hayo hakuna mtu aliyethubutu kumuuliza maswali tena. 1 Kristo Ni Mwana Wa Nani? (Mathayo 22:41-46; Marko 12:35-37)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And after that they durst not ask him any question at all.
In Context
39Baadhi ya walimu wa sheria wakasema, “Mwalimu, umesema sawasawa kabisa!”
Cross References
Proverbs 26:5Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, 2 ama atakuwa mwenye hekima machoni pake mwenyewe. 1
Mark 12:34Yesu alipoona kwamba amejibu kwa busara, akamwambia, “Wewe hauko mbali na Ufalme wa Mungu.” Tangu wakati huo, hakuna mtu yeyote aliyethubutu kumuuliza maswali tena. 1 Kristo Ni Mwana Wa Nani? (Mathayo 22:41-46; Luka 20:41-44)