The Bible Software
bible.softwareLukaLuka 20 › Luka 20:45

Luka 20:45

Wakati watu wote walikuwa wanamsikiliza, Yesu akawaambia wanafunzi wake,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then in the audience of all the people he said unto his disciples,

In Context

44Ikiwa Daudi anamwita yeye ‘Bwana,’ basi atakuwaje mwanawe?” 1 Yesu Awashutumu Walimu Wa Sheria (Mathayo 23:1-36; Marko 12:38-40)

46“Jihadharini na walimu wa sheria. Wao hupenda kutembea wakiwa wamevaa mavazi marefu, na kusalimiwa kwa heshima masokoni. Hupenda kukaa kwenye viti vya mbele katika masinagogi, na kukaa kwenye nafasi za heshima katika karamu.

Read all of Luka 20

Cross References

Matthew 23:1Kisha Yesu akauambia umati wa watu pamoja na wanafunzi wake:

Mark 8:34Ndipo akauita ule umati wa watu pamoja na wanafunzi wake, akasema, “Mtu yeyote akitaka kunifuata, ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.

1 Timothy 5:20Wale wanaodumu katika dhambi uwakemee hadharani, ili wengine wapate kuogopa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 20:45

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 20:44Luka 20Luka 20:46 →