Mathayo 23:1
Kisha Yesu akauambia umati wa watu pamoja na wanafunzi wake:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then spake Jesus to the multitude, and to his disciples,
In Context
2“Walimu wa sheria na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Mose,
Cross References
Matthew 15:10Yesu akaita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni na mwelewe:
Mark 12:38Alipokuwa akifundisha, Yesu alisema, “Jihadharini na walimu wa sheria. Wao hupenda kutembea wakiwa wamevaa mavazi marefu, na kusalimiwa kwa heshima masokoni.
Luke 12:57“Kwa nini hamwamui wenyewe lililo haki?