Luke 21:19
Kwa kuvumilia mtaokoa roho zenu. 1 Kuharibiwa Kwa Yerusalemu Kwatabiriwa (Mathayo 24:15-21; Marko 13:14-19)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In your patience possess ye your souls.
In Context
18Lakini hapatakuwa na unywele mmoja wa kichwa chenu utakaoangamia.
Cross References
Psalms 27:13Nami bado nina tumaini hili: 2 nitauona wema wa Bwana 2 katika nchi ya walio hai. 1
Psalms 40:1Nilimngoja Bwana kwa saburi, 2 naye akaniinamia, akasikia kilio changu. 1
Matthew 24:13lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa.
Romans 2:7Wale ambao kwa kuvumilia katika kutenda mema hutafuta utukufu, heshima na maisha yasiyoharibika, Mungu atawapa uzima wa milele.
Romans 8:25Lakini tunapotumaini kupata kitu ambacho hatuna, basi twakingojea kwa saburi.
1 Thessalonians 1:3Tunaikumbuka daima kazi yenu ya imani mbele za Mungu aliye Baba yetu, taabu yenu katika upendo na saburi yenu ya tumaini katika Bwana wetu Yesu Kristo.