Matthew 24:13
lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But he that shall endure unto the end, the same shall be saved.
In Context
12Kwa sababu ya kuongezeka kwa uovu upendo wa watu wengi utapoa,
Cross References
Matthew 10:22Watu wote watawachukia kwa ajili ya Jina langu. Lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa.
Mark 13:13Watu wote watawachukia kwa ajili ya Jina langu. Lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa. 1 Chukizo La Uharibifu (Mathayo 24:15-28; Luka 21:20-24)
Romans 2:7Wale ambao kwa kuvumilia katika kutenda mema hutafuta utukufu, heshima na maisha yasiyoharibika, Mungu atawapa uzima wa milele.
Hebrews 3:6Lakini Kristo ni mwaminifu kama Mwana katika nyumba ya Mungu. Sisi ndio nyumba yake, kama tutashikilia sana ujasiri wetu na tumaini tunalojivunia. 1 Onyo Dhidi Ya Kutokuamini
Hebrews 10:39Lakini sisi hatumo miongoni mwa hao wanaositasita na kuangamia, bali tuko miongoni mwa hao wenye imani na hivyo tunaokolewa.