Luke 21:30
Inapochipua majani, ninyi wenyewe mnaweza kuona na kutambua wenyewe ya kuwa wakati wa kiangazi umekaribia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When they now shoot forth, ye see and know of your own selves that summer is now nigh at hand.
In Context
29Akawaambia mfano huu: “Uangalieni mtini na miti mingine yote.
31Vivyo hivyo, myaonapo mambo haya yakitukia, mnatambua kwamba Ufalme wa Mungu umekaribia.
Cross References
Luke 12:57“Kwa nini hamwamui wenyewe lililo haki?