Luka 22:14
Wakati ulipowadia, Yesu akaketi mezani pamoja na wale mitume wake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when the hour was come, he sat down, and the twelve apostles with him.
In Context
15Kisha akawaambia, “Nimetamani sana kuila Pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu.
Cross References
Matthew 26:20Ilipofika jioni, Yesu alikuwa ameketi mezani pamoja na wale wanafunzi wake kumi na wawili.
Mark 14:17Ilipofika jioni, Yesu akaja pamoja na wale wanafunzi wake kumi na wawili.