Luke 22:13
Wakaenda, nao wakakuta kila kitu kama Yesu alivyowaambia. Hivyo wakaiandaa Pasaka. 1 Kuanzishwa Kwa Meza Ya Bwana (Mathayo 26:31-35; Marko 14:27-31; Yohana 13:36-38)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they went, and found as he had said unto them: and they made ready the passover.
In Context
12Atawaonyesha chumba kikubwa ghorofani, kikiwa kimepambwa vizuri. Andaeni humo.”
14Wakati ulipowadia, Yesu akaketi mezani pamoja na wale mitume wake.
Cross References
Luke 19:32Wale waliotumwa wakaenda, wakakuta kila kitu kama vile Yesu alivyokuwa amewaambia.
John 2:5Mama yake akawaambia wale watumishi, “Lolote atakalowaambia, fanyeni.”
Hebrews 11:8Kwa imani Abrahamu, alipoitwa aende mahali ambapo Mungu angempa baadaye kuwa urithi, alitii na akaenda, ingawa hakujua anakokwenda.