Luke 22:29
Nami kama Baba yangu alivyonipa ufalme, kadhalika mimi nami ninawapa ninyi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And I appoint unto you a kingdom, as my Father hath appointed unto me;
In Context
28Ninyi mmekuwa pamoja nami katika majaribu yangu.
Cross References
Matthew 25:34“Ndipo Mfalme atawaambia wale walioko upande wake wa kuume, ‘Njooni, ninyi mliobarikiwa na Baba yangu; urithini Ufalme ulioandaliwa kwa ajili yenu tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Luke 12:32“Msiogope enyi kundi dogo, kwa maana Baba yenu ameona vyema kuwapa ninyi Ufalme.
1 Corinthians 9:25Kila mmoja anayeshiriki katika mashindano hufanya mazoezi makali. Wao hufanya hivyo ili wapokee taji isiyodumu, lakini sisi tunafanya hivyo ili kupata taji idumuyo milele.
2 Timothy 2:12Kama tukistahimili, 2 pia tutatawala pamoja naye. 1 Kama tukimkana yeye, 2 naye atatukana sisi. 1
1 Peter 5:4Naye Mchungaji Mkuu atakapodhihirishwa, mtapokea taji ya utukufu isiyoharibika.