2 Timotheo 2:12
Kama tukistahimili, 2 pia tutatawala pamoja naye. 1 Kama tukimkana yeye, 2 naye atatukana sisi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If we suffer, we shall also reign with him: if we deny him, he also will deny us:
In Context
11Hili ni neno la kuaminiwa: 1 Kwa maana kama tumekufa pamoja naye, 2 tutaishi pia pamoja naye. 1
Cross References
Matthew 10:33Lakini yeyote atakayenikana mimi mbele ya watu, mimi nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni.” 1 Sikuleta Amani, Bali Upanga (Luka 12:51-53; 14:26-27)
Matthew 26:35Lakini Petro akasisitiza, “Hata kama itabidi kufa pamoja nawe, sitakukana kamwe.” Nao wanafunzi wale wengine wote wakasema vivyo hivyo. 1 Yesu Anaomba Gethsemane (Marko 14:32-42; Luka 22:39-46)
Mark 8:38Mtu yeyote akinionea aibu mimi na maneno yangu katika kizazi hiki cha uzinzi na dhambi, Mwana wa Adamu naye atamwonea aibu wakati atakapokuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu.”
Luke 9:26Mtu yeyote akinionea aibu mimi na maneno yangu, Mwana wa Adamu naye atamwonea aibu atakapokuja katika utukufu wake na katika utukufu wa Baba, pamoja na malaika watakatifu.
Acts 14:22wakiwaimarisha wanafunzi na kuwatia moyo waendelee kudumu katika imani. Wakawaonya wakisema, “Imetupasa kuingia katika Ufalme wa Mungu kwa kupitia katika taabu nyingi.”
Philippians 1:28wala msitishwe na wale wanaowapinga. Hii ni ishara kwao kuwa wataangamia, lakini ninyi mtaokolewa, na hii ni kazi ya Mungu.