Luke 22:31
Yesu akasema, “Simoni, Simoni, sikiliza, Shetani ameomba kuwapepeta ninyi wote kama ngano.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 2:1Siku nyingine wana wa Mungu walikuja kujionyesha mbele za Bwana. Shetani naye akaja pamoja nao kujionyesha mbele zake.
Amos 9:9“Kwa kuwa nitatoa amri, 2 na nitaipepeta nyumba ya Israeli 2 miongoni mwa mataifa yote, 1 kama vile nafaka ipepetwavyo katika ungo, 2 na hakuna hata punje moja itakayoanguka chini. 1
Luke 10:41Lakini Bwana akamjibu, “Martha, Martha, mbona unasumbuka na kuhangaika na mengi?
1 Peter 5:8Mwe na kiasi na kukesha, maana adui yenu ibilisi huzungukazunguka kama simba angurumaye akitafuta mtu ili apate kummeza.