Luke 22:33
Petro akajibu, “Bwana, niko tayari kwenda pamoja nawe gerezani na hata kifoni.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said unto him, Lord, I am ready to go with thee, both into prison, and to death.
In Context
Cross References
Proverbs 28:26Yeye ajitumainiaye mwenyewe ni mpumbavu, 2 bali yeye atembeaye katika hekima hulindwa salama. 1
Jeremiah 17:9Moyo ni mdanganyifu kuliko vitu vyote, 2 ni mwovu kupita kiasi. 2 Ni nani awezaye kuujua? 1
Matthew 26:33Petro akajibu, “Hata kama wote watakuacha, kamwe mimi sitakuacha.”
Mark 14:29Petro akasema, “Hata kama wengine wote watakuacha, mimi sitakuacha.”
Mark 14:37Akarudi kwa wanafunzi wake, akawakuta wamelala. Akamwambia Petro, “Simoni, umelala? Je, hukuweza kukesha hata kwa saa moja?
John 13:36Simoni Petro akamuuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akamjibu, “Ninakokwenda huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.”