Luke 22:44
Naye akiwa katika maumivu makuu, akaomba kwa bidii, nalo jasho lake likawa kama matone ya damu yakidondoka ardhini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
43Malaika kutoka mbinguni akamtokea, akamtia nguvu.
45Baada ya kuomba, akawarudia wanafunzi wake akawakuta wamelala, wakiwa wamechoka kutokana na huzuni.
Cross References
Genesis 32:24Kwa hiyo Yakobo akaachwa peke yake na mtu mmoja akashikana naye mweleka mpaka mapambazuko.
Psalms 22:12Mafahali wengi wamenizunguka, 2 mafahali wa Bashani wenye nguvu 2 wamenizingira. 1
Psalms 69:14Uniokoe katika matope, 2 usiniache nizame; 1 niokoe na hao wanichukiao, 2 kutoka kwenye vilindi vya maji. 1
Psalms 130:1Kutoka vilindini ninakulilia, Ee Bwana. 2
Isaiah 53:10Lakini yalikuwa ni mapenzi ya Bwana 2 kumchubua na kumsababisha ateseke. 1 Ingawa Bwana amefanya maisha yake 2 kuwa sadaka ya hatia, 1 ataona uzao wake na kuishi siku nyingi, 2 nayo mapenzi ya Bwana yatafanikiwa mkononi mwake. 1
Lamentations 3:53Walijaribu kukomesha maisha yangu ndani ya shimo 2 na kunitupia mawe; 1