Luke 22:43
Malaika kutoka mbinguni akamtokea, akamtia nguvu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And there appeared an angel unto him from heaven, strengthening him.
In Context
Cross References
Job 4:3Fikiri jinsi ambavyo umewafundisha watu wengi, 2 jinsi ambavyo umeitia nguvu 2 mikono iliyokuwa dhaifu. 1
Daniel 10:16Ndipo mmoja aliyeonekana kama mwanadamu akanigusa midomo yangu, nami nikafungua kinywa changu, nikaanza kunena. Nikamwambia yule aliyesimama mbele yangu, “Nimepatwa na huzuni kubwa kwa sababu ya maono haya, bwana wangu, nami nimeishiwa nguvu.
Matthew 4:6akamwambia, “Kama wewe ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini. Kwa kuwa imeandikwa: 1 “ ‘Atakuagizia malaika zake, 2 nao watakuchukua mikononi mwao 1 ili usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’ ”
Matthew 26:53Je, unadhani siwezi kumwomba Baba yangu naye mara moja akaniletea zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaika?
Luke 22:32Lakini nimekuombea wewe Simoni ili imani yako isishindwe, nawe ukiisha kunirudia, uwaimarishe ndugu zako.”
1 Timothy 3:16Bila shaka yoyote, siri ya utauwa ni kubwa: 1 Alidhihirishwa katika mwili wa kibinadamu, 2 akathibitishwa kuwa na haki katika Roho, 1 akaonekana na malaika, 2 akahubiriwa miongoni mwa mataifa, 1 akaaminiwa ulimwenguni, 2 akachukuliwa juu katika utukufu.