Luka 22:50
Mmoja wao akampiga mtumishi wa kuhani mkuu kwa upanga, akamkata sikio la kuume.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And one of them smote the servant of the high priest, and cut off his right ear.
In Context
51Lakini Yesu akasema, “Acheni!” Akaligusa lile sikio la yule mtu na kumponya.
Cross References
Matthew 26:51Ghafula mmoja wa wale waliokuwa na Yesu alipoona hivyo, akaushika upanga wake, akauchomoa na kumpiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio.
John 18:10Simoni Petro, aliyekuwa na upanga, akaufuta na kumkata sikio la kuume mtumishi wa kuhani mkuu. Jina la mtumishi huyo aliitwa Malko.
2 Corinthians 10:4Silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome,