Luka 22:62
Naye akaenda nje, akalia kwa majonzi. 1 Walinzi Wamdhihaki Yesu Na Kumpiga (Mathayo 26:67-68; Marko 14:65)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Peter went out, and wept bitterly.
In Context
63Watu waliokuwa wanamlinda Yesu wakaanza kumdhihaki na kumpiga.
Cross References
Psalms 38:18Naungama uovu wangu, 2 ninataabishwa na dhambi yangu. 1
Psalms 130:1Kutoka vilindini ninakulilia, Ee Bwana. 2
Jeremiah 31:18“Hakika nimeyasikia maombolezo ya Efraimu: 2 ‘Ulinirudi kama ndama mkaidi, 2 nami nimekubali kutii. 1 Unirudishe, nami nitarudi, 2 kwa sababu wewe ndiwe Bwana, Mungu wangu. 1
Zechariah 12:10“Nami nitamiminia nyumba ya Daudi na wakazi wa Yerusalemu roho ya neema + 12:10 Au: Roho wa neema. na maombi. Watanitazama mimi, yule waliyemchoma. Nao watamwombolezea kama mtu anayemwombolezea mwanawe wa pekee na kusikitika kwa uchungu kama anayemsikitikia mzaliwa wake wa kwanza wa kiume.
Matthew 26:75Ndipo Petro akakumbuka lile neno Yesu alilokuwa amesema: “Kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.” Naye akaenda nje, akalia kwa majonzi.
1 Corinthians 10:12Hivyo, yeye ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke.