Luke 22:65
Wakaendelea kumtukana kwa matusi mengi. 1 Yesu Apelekwa Mbele Ya Baraza (Mathayo 26:59-66; Marko 14:55-64; Yohana 18:28-38)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And many other things blasphemously spake they against him.
In Context
64Wakamfunga kitambaa machoni na kumuuliza, “Tabiri! Tuambie ni nani aliyekupiga?”
Cross References
Matthew 27:39Watu waliokuwa wakipita njiani wakamtukana huku wakitikisa vichwa vyao
Acts 26:11Mara nyingi nilikwenda kutoka sinagogi moja hadi ingine nikiamuru waadhibiwe, nami nilijaribu kuwalazimisha wakufuru. Katika shauku yangu dhidi yao, hata nilikwenda miji ya kigeni ili kuwatesa. 1 Paulo Aeleza Kuhusu Kuokoka Kwake (Matendo 9:1-19; 22:6-16)