Luke 23:16
Kwa hiyo nitaamuru apigwe mijeledi na kumwachia.” [
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I will therefore chastise him, and release him.
In Context
17Kwa kuwa ilikuwa lazima kuwafungulia mfungwa mmoja wakati wa Sikukuu.]
Cross References
Isaiah 53:5Lakini alitobolewa kwa ajili ya makosa yetu, 2 alichubuliwa kwa ajili ya maovu yetu; 1 adhabu iliyotuletea sisi amani ilikuwa juu yake, 2 na kwa majeraha yake sisi tumepona. 1
Mark 15:15Pilato, akitaka kuuridhisha ule umati wa watu, akawafungulia Baraba. Naye baada ya kuamuru Yesu achapwe mijeledi, akamtoa ili asulubishwe. 1 Askari Wamdhihaki Yesu (Mathayo 27:27-31; Yohana 19:2-3)
John 19:1Ndipo Pilato akamtoa Yesu akaamuru apigwe mijeledi.
Acts 16:37Lakini Paulo akawaambia wale maafisa, “Wametupiga hadharani bila kutufanyia mashtaka na kutuhoji, nao wakatutupa gerezani, hata ingawa sisi ni raiya wa Rumi. Nao sasa wanataka kututoa gerezani kwa siri? Hapana! Wao na waje wenyewe watutoe humu gerezani.”