Luke 23:17
Kwa kuwa ilikuwa lazima kuwafungulia mfungwa mmoja wakati wa Sikukuu.]
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
(For of necessity he must release one unto them at the feast.)
In Context
16Kwa hiyo nitaamuru apigwe mijeledi na kumwachia.” [
18Ndipo watu wote wakapiga kelele kwa pamoja, “Mwondoe mtu huyo! Tufungulie Baraba!”
Cross References
Mark 15:6Ilikuwa desturi wakati wa Sikukuu ya Pasaka kumfungulia mfungwa yeyote ambaye watu wangemtaka.