Luke 23:21
Lakini wao wakaendelea kupiga kelele wakisema, “Msulubishe! Msulubishe!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But they cried, saying, Crucify him, crucify him.
In Context
20Pilato, akitaka kumwachia Yesu, akasema nao tena.
Cross References
Matthew 27:22Pilato akawaambia, “Basi nifanye nini na huyu Yesu aitwaye Kristo?” Wakajibu wote, “Msulubishe!”
Luke 23:23Lakini watu wakazidi kupiga kelele kwa nguvu zaidi, wakidai kwamba Yesu asulubiwe. Hivyo, kelele zao zikashinda.