Matthew 27:22
Pilato akawaambia, “Basi nifanye nini na huyu Yesu aitwaye Kristo?” Wakajibu wote, “Msulubishe!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Mtawala akawauliza tena, “Ni yupi kati ya hawa wawili mnayetaka niwafungulie?” Wakajibu, “Baraba.”
Cross References
Psalms 22:8Husema, “Anamtegemea Bwana, 2 basi Bwana na amwokoe. 1 Amkomboe basi, kwa maana 2 anapendezwa naye.” 1
Isaiah 53:2Alikua mbele yake kama mche mwororo 2 na kama mzizi katika nchi kavu. 1 Hakuwa na uzuri wala utukufu wa kutuvutia kwake, 2 hakuwa na chochote katika sura yake cha kutufanya tumtamani. 1
Matthew 1:16naye Yakobo akamzaa Yosefu ambaye alikuwa mumewe Maria, mama yake Yesu, aitwaye Kristo. + 1:16 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta.
Mark 14:55Viongozi wa makuhani na Baraza la Wayahudi + 14:55 Baraza la Wayahudi hapa ina maana ya Sanhedrin ambalo lilikuwa ndilo baraza la juu kabisa la utawala wa Kiyahudi, lililoundwa na wazee 70 pamoja na kuhani mkuu. lote wakatafuta ushahidi dhidi ya Yesu ili wapate kumuua. Lakini hawakupata jambo lolote.
Luke 23:20Pilato, akitaka kumwachia Yesu, akasema nao tena.
Acts 13:38“Kwa hiyo ndugu zangu, nataka ninyi mjue kwamba kwa kupitia huyu Yesu msamaha wa dhambi unatangazwa kwenu.