The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 23 › Luke 23:28

Luke 23:28

Yesu akawageukia, akawaambia, “Enyi binti za Yerusalemu, msinililie mimi bali jililieni ninyi wenyewe na watoto wenu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But Jesus turning unto them said, Daughters of Jerusalem, weep not for me, but weep for yourselves, and for your children.

In Context

27Idadi kubwa ya watu wakamfuata Yesu, wakiwamo wanawake waliokuwa wakimlilia na kumwombolezea.

29Kwa maana wakati utafika mtakaposema, ‘Wamebarikiwa wanawake tasa, ambao matumbo yao hayakuzaa, wala matiti yao hayakunyonyesha!’

Read all of Luke 23

Cross References

Song of Solomon 1:5Mimi ni mweusi, lakini napendeza, 2 enyi binti za Yerusalemu, 2 mweusi kama mahema ya Kedari, 2 kama mapazia ya hema la Solomoni. 1

Song of Solomon 3:5Binti za Yerusalemu, ninawaagiza 2 kwa paa na kwa ayala wa shambani: 1 Msichochee wala kuamsha mapenzi 2 hata yatakapotaka yenyewe. 1 Shairi La Tatu Mpenzi 1

Song of Solomon 5:8Enyi binti za Yerusalemu, ninawaagiza: 2 kama mkimpata mpenzi wangu, 1 mtamwambia nini? 2 Mwambieni ninazimia kwa mapenzi. Marafiki 1

Song of Solomon 8:4Binti za Yerusalemu, ninawaagiza: 2 msichochee wala kuamsha mapenzi 2 hata yatakapotaka yenyewe. 1 Shairi La Sita Marafiki 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 23:28

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 23:27Luke 23Luke 23:29 →